Monday, January 1, 2018

MCHORAJI KATUNI,MASOOD KIPANYA AKAMATWA NA POLISI KWA UCHOCHEZI.

Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayodaiwa kuwa inachonganisha serikali na wananchi.

No comments:

Post a Comment